• HABARI MPYA

  Sunday, October 22, 2017

  MARADONA ALIKUWEPO WEMBLEY KUISHUHUDIA LIVERPOOL IKIADHIBIWA

  Gwiji wa soka wa Argentina, Diego Maradona akiwapungia mkono mashabiki Uwanja wa Wembley mjini London alipojitokeza kushuhudia mchezo wa Ligi Kuu ya England kati ya wenyeji, Tottenham Hotspur na Liverpool leo. Spurs imeshinda 4-1 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MARADONA ALIKUWEPO WEMBLEY KUISHUHUDIA LIVERPOOL IKIADHIBIWA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top