• HABARI MPYA

    Monday, October 16, 2017

    LIVERPOOL HAO MAPEAAA WAIFUATA MARIBOR LIGI YA MABINGWA

    Winga wa kimataifa wa Misri, Mohamed Salah akiburuza begi lake wakati akienda kupanda ndege kwa safari ya Slovenia ya klabu yake, Liverpool kwa ajili ya mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa dhidi ya wenyeji, Maribor kesho PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL HAO MAPEAAA WAIFUATA MARIBOR LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top