• HABARI MPYA

  Tuesday, October 10, 2017

  JAMES MCCLEAN AIPELEKA JAMHURI YA IRELAND URUSI 2018

  James McClean wa Jamhuri ya Ireland akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao pekee dakika ya 57 ikiwalaza wenyeji, Wales 1-0 katika mchezo wa Kundi D kufuzu Kombe la Dunia mwakani Urusi uliofanyika jana Uwanja wa Cardiff City mjini Cardiff. Na kwa ushindi huo, Wales inafuzu Kombe la Dunia PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JAMES MCCLEAN AIPELEKA JAMHURI YA IRELAND URUSI 2018 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top