Asier Illarramendi akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia bao pekee Hispania dakika ya 76 katika ushindi wa 1-0 ugenini dhidi ya Israel usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi G kufuzu Kombe la Dunia mwakani Urusi Uwanja wa Teddi Malcha mjini Jerusalem. Hispania tayari imefuzu Kombe l Dunia mapema kabla ya mchezo huo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Who's leading the race for the Golden Shoe?
-
As the halfway mark of the 2025/26 campaign approaches, BBC Sport takes a
look at the frontrunners for this season's European Golden Shoe award.
57 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment