Beki wa Italia, Davide Zappacosta anayechezea Chelsea (kushoto) akiwania mpira wa juu dhidi ya Ferhan Hasani wa Macedonia katika mchezo wa Kundi G kufuzu Kombe la Dunia usiku wa jana Uwanja wa Olimpiki Grande Torino mjini Torino timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Italia walitangulia kwa bao la Giorgio Chiellini dakika ya 40, kabla ya Aleksandar Trajkovski kuwasawazishia wageni dakika ya 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
The Preview: Motherwell star Tawanda Maswanhise has huge potential... but
he should stay put for now
-
You'd have to be a brave soul to pick a fight with Motherwell boss Jens
Berthel Askou. Yes, the Dane certainly comes across as an affable fellow,
but he is...
55 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment