• HABARI MPYA

  Monday, October 02, 2017

  ISCO AFUNGA MAWILI, REAL MADRID YASHINDA 2-0 LA LIGA

  Kiungo Mspaniola, Isco akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Real Madrid dakika ya 30 kwa pasi ya Cristiano Ronaldo na 71 kwa pasi ya  Marco Asensio kwenye ushindi wa 2-0 dhidi ya Espanyol katika mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Bernabeu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ISCO AFUNGA MAWILI, REAL MADRID YASHINDA 2-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top