• HABARI MPYA

    Wednesday, October 04, 2017

    HAYE NA BELLEW KURUDIANA DESEMBA 17 LONDON

    Tony Bellew (kushoto) na David Haye (kulia) wakitambiana leo katika mkutano na Waandishi wa Habari kutangaza pambano lao la marudiano ambalo litafanyika Desemba 17, mwaka huu ukumbi wa O2-Arena mjini London. Pambano la kwanz Bellew alishinda, ingawa Haye alisema aliumia PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HAYE NA BELLEW KURUDIANA DESEMBA 17 LONDON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top