• HABARI MPYA

    Saturday, October 14, 2017

    FEKIR AFUNGA MAWILI, LYON YAILAZA 3-2 MONACO UFARANSA

    Nabil Fekir akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Lyon dakika ya 95 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Monaco usiku wa jana katika mchezo wa Ligue 1, Ufaransa Uwanja wa Groupama mjini Decines-Charpieu. Fekir pia alifunga bao la pili dakika ya 23, baada ya Mariano Diaz kufunga la kwanza dakika ya 11, wakati mabao ya Monaco yalifungwa na Rony Lopes dakika ya 17 na Adama Traore dakika ya 34 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: FEKIR AFUNGA MAWILI, LYON YAILAZA 3-2 MONACO UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top