• HABARI MPYA

    Friday, October 13, 2017

    WACHEZAJI WA SIMBA ZIARANI OFISI ZA SPORTPESA LEO

    Wachezaji wa Simba, Mganda Emmanuel Okwi (kulia) na Mghana, James Kotei (kushoto) wakisikiliza kwa makini moja ya hotuba kwenye ofisi za wadhamini wakuu wa Simba, SportPesa, Oysterbay, Dar es Salaam wakati wa ziara ya timu hiyo kwa wadhamini wao hao leo asubuhi
    Kutoka kulia Yussuf Mlipili, Mrundi Laudit Mavugo na Mganda Juuko Murshid
    Hapa wachezaji na viongozi wa Simba wakisaini jezi maalum kwenye ofisi hizo
    Wachezaji wa Simba wakati wanawasili ofisi za SportPesa 
    Wachezaji wa Simba wakisikiliza hotuba leo
    Wachezaji wa Simba katika picha ya pamoja na viongozi wa SportPesa leo
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WACHEZAJI WA SIMBA ZIARANI OFISI ZA SPORTPESA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top