• HABARI MPYA

  Friday, October 20, 2017

  EVERTON YAWA YA KUJIPIGIA TU, YATANDIKWA 2-1 NA LYON

  Mshambuliaji wa Lyon ya Ufaransa, Bertrand Traore akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao la pili timu yake ikiwalaza wenyeji Everton 2-1 katika mchezo wa Kundi E Europa League usiku wa jana Uwanja wa Goodison Park. Nabil Fekir alianza kuwafungia Lyon kwa penalti dakika ya sita baada ya Mason Holgate kumchezea rafu Fernando Marcal kabla ya Ashley Williams kuisawazishia Everton dakika ya 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: EVERTON YAWA YA KUJIPIGIA TU, YATANDIKWA 2-1 NA LYON Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top