• HABARI MPYA

    Sunday, August 06, 2017

    YANGA NA SINGIDA UNITED KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Mshambuliaji Mzimbabwe wa Yanga, Donald Ngoma akimiliki mpira mbele ya beki wa Singida United katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-2 
    Mshambuliaji Mrundi wa Yanga, Amissi Tambwe (kulia) akiudhibiti mpira dhidi ya kiungo wa Singida United, Mudathir Yahya (kushoto)
    Mfungaji wa bao la ushindi la Yanga jana, Emmanuel Martin akikimbilia mpira dhidi ya beki wa Singida
    Viungo Mudathir Yahya wa Singida United (kulia) na Raphael Daudi wa Yanga wakionyeshana kazi katikati ya Uwanja 
    Juma Mahadhi wa Yanga akipambana na wachezaji wa Singida United
    Baruan Akilimali wa Yanga akimiliki mpira pembeni ya mchezaji wa Singida United
    Kikosi cha Yanga kilichoanza jana
    Kikosi cha Singida United kilichoanza jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA SINGIDA UNITED KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top