• HABARI MPYA

  Monday, August 07, 2017

  MAN U WALIVYOWAFUATA REAL KWA UEFA SUPER CUP KESHO

  Eric Bailly (mbele kushoto) akiwa na wachezaji wenzake wa Manchester United kwenye ndege leo wakati wa safari ya kwenda mjini Skopje, Macedonia kwa ajili ya mcheo wa Super Cup ya UEFA dhidi ya Real Madrid kesho usiku Uwanja wa Nacionalna Arena Filip II. Man United ni mabingwa wa Ligi ya Ulaya na Real Madrid ni mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN U WALIVYOWAFUATA REAL KWA UEFA SUPER CUP KESHO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top