• HABARI MPYA

  Sunday, June 18, 2017

  WARD AMSHINDA KOVALEV 'KIMAGUMASHI' TKO RAUNDI YA NANE

  Bondia Mmarekani, Andre Ward akiondoka huku akishangilia baada ya refa, Tony Weeks kusimamisha pambano kati yake na Sergey Kovalev dakika ya pili, sekunde ya 29 raundi ya nane mjini Mandalay Bay usiku wa jana. Hata hivyo, refa alilalamikiwa kumaliza pambano hilo la uzito wa Light Heavy haraka na kumpa ushindi wa Technical Knockout (TKO) Ward, huku Mrusi Kovalev akiwa ana uwezo wa kuendelea  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WARD AMSHINDA KOVALEV 'KIMAGUMASHI' TKO RAUNDI YA NANE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top