• HABARI MPYA

    Friday, June 16, 2017

    MESSI, FABREGAS WAAMUA KWENDA 'KULA BATA' PAMOJA

    Kiungo wa Chelsea, Cesc Fabregas (katikati) akiwa na mchezaji mwenzake wa zamani wa Barcelona, Lionel Messi (kulia) na familia zao wakifurahia pamoja katika kisiwa cha Balaeric nchini Hispania wakati huu wa mapumziko ya baada ya msimu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MESSI, FABREGAS WAAMUA KWENDA 'KULA BATA' PAMOJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top