• HABARI MPYA

  Saturday, June 03, 2017

  MAGWIJI WAKUMBUSHIA ENZI KABLA YA FAINALI LIGI YA MABINGWA

  Gwiji wa Brazil, Cafu akimiliki mpira mbele ya Luis Figo na Michel Salgado katika mechi ya magwiji wa Ulaya jana Uwanja wa Cardiff Bay nchini Wales, kuelekea fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya Juventus na Real Madrid leo. Cafu alichezea Gullit All Stars pamoja na David James, Ciro Ferrara, Steffen Freund, Patrik Andersson, Dejan Stankovic, 
  Robert Pires, Marcel Desailly, Ian Rush, Ryan Giggs, Fabrizio Ravanelli, David Trezeguet, Eric Abidal na Marco Materazzi, wakati Figo na Salgado walichezea Butragueno All Stars pamoja na Michel Salgado, Celestine Babayaro, Roberto Carlos, Gaizka Mendieta, Predrag Mijatovic, Patrizia Panico, Davor Suker, Luis Garcia, Rai, Clarence Seedorf, Christian Karembeu, Steve McMananman, Deco na Eidur Gudjohnsen 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAGWIJI WAKUMBUSHIA ENZI KABLA YA FAINALI LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top