• HABARI MPYA

  Friday, June 16, 2017

  MADEGA ATAKA KITI CHA MALINZI TFF, ACHUKUA FOMU LEO

  Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Imani Madega akionyesha fomu ya kugombea Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya kuichukua leo makao makuu ya shirikisho hilo, Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Jamal Emil Malinzi, Katibu Mkuu wa zamani wa Yanga, ndiye Rais wa TFF kwa sasa  
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MADEGA ATAKA KITI CHA MALINZI TFF, ACHUKUA FOMU LEO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top