• HABARI MPYA

    Saturday, June 03, 2017

    KOCHA MTIBWA SUGAR AKABIDHI TAARIFA YA MSIMU KWA UONGOZI

    Kaimu Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar ya Morogoro, Zubery Katwila (kulia) akimkabidhi taarifa ya msimu wa 2016/2017 ya timu hiyo, Mkurugenzi Mtendaji, Jamal Byser (kushoto) jana kwenye ofisi ndogo za klabu, barabara ya Nyerere mjini Dar es Salaam.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KOCHA MTIBWA SUGAR AKABIDHI TAARIFA YA MSIMU KWA UONGOZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top