• HABARI MPYA

  Sunday, June 18, 2017

  KINARA WA MABAO RWANDA ATUA SINGIDA UNITED

  Mratibu wa Singida United, Sanga Festo (kushoto) akimkabidhi jezi ya timu hiyo mshambuliaji Danny Usengimana baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na wageni hao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kutoka Polisi ya kwao, Rwanda. Usengimana ni mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Azam Rwanda kwa misimu miwili iliyopita
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KINARA WA MABAO RWANDA ATUA SINGIDA UNITED Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top