• HABARI MPYA

  Monday, June 19, 2017

  HAWA HAPA TEMBELE NA MTEMI NA FOMU ZAO KUWANIA UONGOZI TFF

  Viungo wa zamani wa timu ya taifa, Taifa Stars, Ally Mayay Tembele (kushoto) na Mtemi Ramadhani (kulia) wakiwa ameshika fomu ya kugombea uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya kuchukua asubuhi ya leo ofisi za shirikisho hilo, Uwanja wa Karume, Dar es Salaam leo. Mayay aliyewahi kuchezea Yanga, anawania Urais na Mtemi, mchezaji wa zamani wa Simba anataka Umakamu wa Rais 

  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAWA HAPA TEMBELE NA MTEMI NA FOMU ZAO KUWANIA UONGOZI TFF Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top