• HABARI MPYA

    Sunday, June 04, 2017

    ATHUMANI CHINA ALIKUWA ANACHOMWA SINDANO ZA GANZI ACHEZE AKIWA MAJERUHI YANGA

    Kiungo wa Yanga, Athumani Abdallah Mchabwa, maarufu kama Athumani China akichomwa sindano ya ganzi ili kupooza maumivu aweze kuendelea na mchezo katika moja ya mechi za timu hiyo mwaka 1989. Kulia ni Meneja wa klabu hiyo, Charles Mgombelo.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ATHUMANI CHINA ALIKUWA ANACHOMWA SINDANO ZA GANZI ACHEZE AKIWA MAJERUHI YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top