• HABARI MPYA

  Thursday, May 11, 2017

  SANCHEZ, GIROUD WAING'ARISHA ARSENAL LIGI KUU ENGLAND

  Alexis Sanchez akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la kwanza dakika ya 60 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Southampton usiku wa Jumatano kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St Mary's. Bao la pili la Arsenal limefungwa na Olivier Giroud dakika ya 83 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SANCHEZ, GIROUD WAING'ARISHA ARSENAL LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top