Wachezaji wa Huddersfield Town wakishangilia na taji lao la mechi ya mchujo ya Championship kuwania kupanda Ligi Kuu England baada ya ushindi wa penalti 4-3 kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika 120 leo Uwanja wa Wembley, London. Liam Moore alipaisha mkwaju wake kabla ya Danny Ward kuokoa penalti ya Jordan Obita na pamoja na kipa Ali Al-Habsi kuokoa tuta la Michael Hefele, haikuzuia Huddersfield Town kurejea Ligi Kuu mwa mara ya kwanza tangu mwaka 1972 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Cat steals the spotlight during music exam with surprise stage entrance
-
A university music exam took an unexpected turn in eastern China when a
curious cat wandered onto the stage mid-performance. The moment unfolded on
January...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment