• HABARI MPYA

  Friday, May 26, 2017

  MBAO WALIPOTINGA BUNGENI JANA KABLA YA KUIVAA SIMBA KESHO

  Kikosi kizima cha Mbao FC kikiwa nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana walipokwenda kwa mwaliko wa Mbunge wa jimbo la Ilemela, Dk. Angeline Mabula ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Mbao yenye maskani yake Ilemela, Mwanza kesho inatarajiwa kumenyana na Simba SC katika fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), au Azam Sports Federation Cup (ASFC).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBAO WALIPOTINGA BUNGENI JANA KABLA YA KUIVAA SIMBA KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top