• HABARI MPYA

    Saturday, May 27, 2017

    MBAO WALIVYOWAWEKA ROHO JUU MASHABIKI WA SIMBA LEO JAMHURI

    Mashabiki wa Simba wakiwa wanyonge wakati mchezo baina ya timu yao na Mbao FC ukiendelea Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma na timu hizo zikiwa hazijafungana, kabla ya Wekundu wa Msimbazi kushinda 2-1 ndani ya dakika 30 za nyongeza.

    Akina dada hawa nao walikuwa Uwanja wa Jamhuri kuisapoti Simba



    Lakini mashabiki wa Simba walianza kufurahi baada ya mshambuliaji Muivory Coast, Frederick Blagnon (katikati) kufunga bao la kwanza


    Mashabiki wa Yanga nao walikuwepo Uwanja wa Jamhuri kuisapiti Mbao FC



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MBAO WALIVYOWAWEKA ROHO JUU MASHABIKI WA SIMBA LEO JAMHURI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top