• HABARI MPYA

  Tuesday, May 23, 2017

  POLISI WAKAGUA GARI ZA WACHEZAJI WA MANCHESTER UNITED

  Polisi wakikagua gari za wachezaji wa Manchester United wakielekea mazoeini viwanja vya Carrington leo, baada ya tukio la usiku wa jana la shambulio la kigaidi kwenye tamasha la muziki wa Pop mjini Manchester lililosababisha vifo vya watu 22 na wengine 119 kujeruhiwa 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: POLISI WAKAGUA GARI ZA WACHEZAJI WA MANCHESTER UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top