• HABARI MPYA

  Sunday, April 09, 2017

  ZLATAN APIGA BAO LA 17 LIGI KUU MAN UNITED YAINYUNYIZIA 3-0 SUNDERLAND

  Mkongwe Zlatan Ibrahimovic akishangilia baada ya kufunga bao lake la 17 katika Ligi Kuu ya England dakika ya 30 Uwanja wa Light katika mchezo dhidi ya wenyeji, Sunderland, ambao Manchester United wameshinda 3-0. Mabao mengine ya Man United yamefunga na Henrikh Mkhitaryan dakika ya 46 na Marcus Rashford dakika ya 89 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ZLATAN APIGA BAO LA 17 LIGI KUU MAN UNITED YAINYUNYIZIA 3-0 SUNDERLAND Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top