• HABARI MPYA

    Monday, April 17, 2017

    YANGA WALIOBAKI ALGERIA SAFARINI KUREJEA NYUMBANI

    Katibu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa (kushoto) akiwa na kiungo wa timu hiyo, Haruna Niyonzima Uwanja wa Ndege wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Algiers unaojulikana pia kama Uwanja wa Ndege wa Houari Boumediene kabla ya safari yao ya kurejea Dar es Salaam leo kupitia Dubai kwa ndege ya Emirates
    Mabeki Mwinyi Mngwali (kulia) na Andrew Vincent 'Dante' (kushoto)
    Beki Kevin Yondan (kushoto) na kiungo Deus Kaseke (kulia)
    Beki Juma Abdul na kipa Benno Kakolanya (kulia)
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA WALIOBAKI ALGERIA SAFARINI KUREJEA NYUMBANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top