• HABARI MPYA

  Monday, April 17, 2017

  RONALDO AREJEA MAZOEZINI REAL MADRID IKIJIANDAA KUIVAA BAYERN KESHO

  Cristiano Ronaldo akifanya mazoezi na Real Madrid Uwanja wa Valdebebas leo kujiandaa na mchezo wa kesho wa marudiano wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Bayern Munich Uwanja wa Bernabeu. Real inahitaji hata sare kusonga mbele baada ya ushindi wa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza wiki iliyopita mjini Munich PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AREJEA MAZOEZINI REAL MADRID IKIJIANDAA KUIVAA BAYERN KESHO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top