• HABARI MPYA

    Tuesday, April 18, 2017

    SANCHEZ, OZIL WAFUNGA ARSENAL IKIIBANJUA BORO 2-1

    Alexis Sanchez akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la kwanza dakika ya 42 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Middlesbrough kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatatu Uwanja wa Riverside. Bao la pili la Arsenal lilifungwa na Mesut Ozil dakika ya 71, wakati la Boro lilifungwa na Alvaro Negredo dakika ya 50 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SANCHEZ, OZIL WAFUNGA ARSENAL IKIIBANJUA BORO 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top