• HABARI MPYA

    Monday, April 17, 2017

    MMILIKI WA LEICESTER CITY ATUA MAZOEZINI KWA HELIKOPTA

    Makamu Mwenyekiti wa Leicester City, Aiyawatt Srivaddhanaprabha akiwasili Uwanja wa mazoezi wa timu hiyo leo wakati wa mazoezi ya kujiandaa na mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Leicester City Uwanja wa King Power kesho PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MMILIKI WA LEICESTER CITY ATUA MAZOEZINI KWA HELIKOPTA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top