• HABARI MPYA

  Sunday, April 02, 2017

  ARSENAL YALAZIMISHWA SARE NA MAN CITY

  Beki wa kati wa Arsenal, Shkodran Mustafi akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kusawazisha dakika ya 53 ikitoa sare ya 2-2 na Manchester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Emirates, London. Bao lingine la Arsenal lilifungwa na Theo Walcott dakika ya 40, wakati ya Man City yamefungwa na Leroy Sane dakika ya tano na Sergio Aguero dakika ya 42 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YALAZIMISHWA SARE NA MAN CITY Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top