• HABARI MPYA

    Sunday, April 02, 2017

    BLAGNON ALIKUWA AMETULIA NA 'TOTO LA KIKE' KWA RAHA ZAKE

    Mshambuliaji Muivory Coast wa Simba, Frederick Blagnon (kulia) akiwa ametulia na binti ambaye hakuweza kufahamika mara moja wakati mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu yake na Kagera Sugar ukiendelea Uwanja wa Kaitaba, Bukoba leo. Simba imefungwa 2-1 
    Mchezaji huyo ghali zaidi katika kikosi cha Simba alikuwa ametulia na kimwana huyo wakiangalia mchezo kwa raha zao 
    Blagnon aliingia akiwa ameongozana na wachezaji wenzake hawa pamoja na mrembo huyu
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BLAGNON ALIKUWA AMETULIA NA 'TOTO LA KIKE' KWA RAHA ZAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top