• HABARI MPYA

  Sunday, April 02, 2017

  BAO LA RONALDO LAKATALIWA, REAL YACHINJA 3-0 BERNABEU

  Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la kwanza dakika ya 31 katika ushindi wa 3-0 dhidinya Alaves kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Bernabeu. Mabao mengine yamefungwa na Isco dakika ya 85 na Nacho dakika ya 88, wakati Cristiano Ronaldo naye alifunga dakika ya 54, lakini bao likakatalkiwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BAO LA RONALDO LAKATALIWA, REAL YACHINJA 3-0 BERNABEU Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top