• HABARI MPYA

  Thursday, April 20, 2017

  MONACO YAKAMILISHA SAFARI YA DORTMUND LIGI YA MABINGWA

  Kylian Mbappe (kushoto) akishangilia kibabe baada ya kuifungia Monaco bao la kwanza katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Borussia Dortmund kwenye mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Louis II mjini Monaco, Ufaransa. Kulia ni mfungaji wa bao la pili Radamel Falcao dakika ya 17 na bao la tatu lilifungwa na Valere Germain dakika ya 81 wakati bao pekee la Dortmund lilifungwa na Marco Reus dakika ya 48. Monaco inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 6-3, baada ya awali kushinda 3-2 Dortmund PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MONACO YAKAMILISHA SAFARI YA DORTMUND LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top