• HABARI MPYA

  Thursday, April 20, 2017

  BARCELONA NJE LIGI YA MABINGWA, JUVENTUS WATINGA NUSU FAINALI

  Lionel Messi akionyesha masikitiko yake baada ya timu yake, Barcelona kutolewa katika hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana kufuatia kulazimishwa sare ya 0-0 na Juventus ya Italia katika mchezo wa marudiano. Juventus ilishinda 3-0 kwenye mchezo wa kwanza wiki iliyopita na sasa inatinga Nusu Fainali, ikiungana na Atletico Madrid, Real Madrid za Hispania na Monaco ya Ufaransa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA NJE LIGI YA MABINGWA, JUVENTUS WATINGA NUSU FAINALI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top