• HABARI MPYA

  Sunday, April 16, 2017

  MESSI AFUNGA MAWILI BARCELONA YASHINDA 3-2 NYUMBANI LA LIGA

  Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika za 17 na 38 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Real-Sociedad usiku wa Jumamosi Uwanja wa Camp Nou kwenye mchezo wa La Liga. Bao lingine la Barca limefungwa na Paco Alcacer dakika ya 44 wakati mabao ya Sociedad yamefungwa na Samuel Umtiti aliyejifunga dakika ya 42 na Xabi Prieto dakika ya 45 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI AFUNGA MAWILI BARCELONA YASHINDA 3-2 NYUMBANI LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top