• HABARI MPYA

  Sunday, April 16, 2017

  LEICESTER WALAZIMISHA SARE 2-2 NA CRYSTAL PALACE

  Christian Benteke wa Crystal Palace (kulia) akijipinda hewani kumtungua kipa wa Leicester City, Kasper Schmeichel dakika ya 70 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Selhurst Park, London kuipatia timu yake sare ya 2-2. Bao lingine la Palace lilifungwa na Yohan Cabaye dakika ya 54, wakati mabao ya Leicester yalifungwa na Robert Huth dakika ya sita na Jamie Vardy dakika ya 52 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEICESTER WALAZIMISHA SARE 2-2 NA CRYSTAL PALACE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top