• HABARI MPYA

    Friday, April 07, 2017

    MASHINDANO YA RIADHA KWA SHULE ZA SEKONDARI UBUNGO PICHANI

    Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Fahari ya Ubungo Dar es Salaam, Said Seleman, akiluka  kwenye mchanga wakati wa mashindano ya riadha kwa shele za sekondari wilaya ya Ubungo yaliofanyika katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana. 
    Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Fahari ya Ubungo Dar es Salaam, Denis Noel, akiluka  kwenye mchanga wakati wa mashindano ya riadha kwa shele za sekondari wilaya ya Ubungo yaliofanyika leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MASHINDANO YA RIADHA KWA SHULE ZA SEKONDARI UBUNGO PICHANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top