• HABARI MPYA

  Sunday, April 16, 2017

  KOMPANY ARUDI NA MABAO, AFUNGA MAN CITU IKIUA 3-1

  Nahodha wa Manchester City, Vincent Kompany akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza dakika ya 55 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, 
  Southampton, Jumamosi Uwanja wa St. Mary's, Southampton. Mabao mengine ya Man City yalifungwa na Leroy Sane dakika ya 77 na Sergio Aguero dakika ya 80 PICHA ZAIDI GONHA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOMPANY ARUDI NA MABAO, AFUNGA MAN CITU IKIUA 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top