Riyad Mahrez (kulia) akijaribu kuuweka mpira kwenye himaya yake dhidi ya beki wa kati wa Atletico Madrid, Diego Godin katika mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa King Power timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Saul Niguez alianza kuifungia Atletico dakika ya 26, kabla ya Jamie Vardy kuisawazishia Leicester dakika ya 61 na kwa matokeo hayo Madrid inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 2-1 baada ya awali kushinda 2-1 Hispania PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Netflix stock falls after fourth quarter results top forecasts, Warner
Bros. deal hangs in the balance
-
Netflix posted fourth quarter results as it hopes to close the acquisition
of WBD.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment