• HABARI MPYA

  Thursday, April 13, 2017

  DYBALA ASAINI MKATABA MPYA JUVENTUS HADI MWAKA 2022

  Paulo Dybala (kulia) akipeana mkono na Mwenyekiti wa Juventus, Andrea Agnelli (kushoto) baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka mitano utakaomuweka Torino hadi mwaka 2022 akilipwa Pauni 110,000 kwa wiki. Amesaini mkataba mpya siku mbili baada ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 kufunga mabao mawili juzi katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Barcelona kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DYBALA ASAINI MKATABA MPYA JUVENTUS HADI MWAKA 2022 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top