• HABARI MPYA

    Wednesday, April 12, 2017

    BARCELONA YATANDIKWA 3-0 NA JUVENTUS TORINO

    Dani Alves akimdhibtii mchezaji wa timu yake ya zamani, Barcelona, Neymar katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya jana Uwanja wa Juventus mjini Torino. Juventus ilishinda 3-0 mabao ya Paulo Dybala mawili dakika za saba na 22 na Giorgio Chiellini dakika ya 55 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BARCELONA YATANDIKWA 3-0 NA JUVENTUS TORINO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top