• HABARI MPYA

  Wednesday, September 21, 2016

  FABREGAS AFUNGA MAWILI, CHELSEA IKIIPIGA 4-2 LEICESTER CITY

  Cesc Fabregas akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika ya 92 na 94 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Leicester City kwenye mchezo wa Kombe la Ligi England Uwanja wa King Power. Mabao mengine ya Chelsea yamefungwa na Gary Cahill dakika ya 47 na Cesar Azpilicueta dakika yav 49, wakati ya Leicester yalifungwa na Shinji Okazaki dakika ya 17 na 34 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FABREGAS AFUNGA MAWILI, CHELSEA IKIIPIGA 4-2 LEICESTER CITY Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top