• HABARI MPYA

  Wednesday, September 21, 2016

  ARSENAL YAUA 4-0 KOMBE LA LIGI LA ENGLAND

  Lucas Perez akipongezwa na wachezaji wenzake wa Arsenal baada ya kufunga bao la tatu dakika ya 71 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Nottingham Forest kwenye mchezo wa Kombe la Ligi England Uwanja wa City. Perez alifunga bao lingine dakika ya 60, wakati mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Granit Xhaka dakika ya 23 na Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 93 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAUA 4-0 KOMBE LA LIGI LA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top