• HABARI MPYA

    Wednesday, May 04, 2016

    UNAANZAJE KUMSAHAU SAIDI SWEDI ‘PANUCCI’ ENZI ZAKE SIMBA SC

    Beki aliyekuwa anaweza kucheza nafasi za kiungo pia, Said Swedi ‘Panucci’ wa Simba akipambana na mchezaji wa Kariakoo United ya Lindi, Chacha Kibaga katika mchezo wa Kombe la Hedex Januari 13, mwaka 2002 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kariakoo ilishinda 3-1
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UNAANZAJE KUMSAHAU SAIDI SWEDI ‘PANUCCI’ ENZI ZAKE SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top