• HABARI MPYA

    Sunday, May 22, 2016

    MAPOKEZI YA SIMBA YALIVYONOGA 2003 WALIPOFUZU MAKUNDI AFRIKA

    Gari la wazi lililobeba wachezaji wa Simba SC likiwa limezingira na umati wa mashabiki wa timu hiyo wakati wa mapokezi yake kikosi kiliporejea kutoka Cairo, Misri ambako waliitoa Zamalek na kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka 2003
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAPOKEZI YA SIMBA YALIVYONOGA 2003 WALIPOFUZU MAKUNDI AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top