• HABARI MPYA

    Monday, May 09, 2016

    KESSY AANGUKA MIAKA MIWILI JANGWANI

    Beki wa kulia wa Simba SC, Hassan Ramadhani Kessy (katikati) akitia dole gumba kwenye fomu za Mkataba wa Yanga baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa miaka miwili kuanzia mwezi ujao. Zoezi hilo lilifanyika juzi usiku mjini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja wa Kessy, Tippo Athumani na kushoto Katibu wa Yanga, Baraka Deusdedit

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KESSY AANGUKA MIAKA MIWILI JANGWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top