• HABARI MPYA

  Sunday, April 17, 2016

  YANGA NA MTIBWA KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima (kushoto) akituliza mpira pembei ya beki wa Mtibwa Sugar, Ally Shomary katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 1-0
  Beki wa Yanga, Juma Abdul akimfunga behewa mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Kevin Friday

  Haruna Niyonzima akipiga mpira mbele ya mchezaji wa Mtibwa Sugar

  Kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko (kushoto) akimiliki mpira pembeni ya mchezaji wa Mtibwa 

  Mfungaji wa bao la Yanga jana, Simon Msuva akimtoka beki wa Mtibwa Sugar

  Mshambuliaji wa Yanga akimfunga tela kiungo wa Mtibwa, Henry Joseph Shindika

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA NA MTIBWA KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top