• HABARI MPYA

  Monday, April 04, 2016

  YANGA NA KAGERA SUGAR JANA TAIFA

  Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akiruka juu kupiga kichwa dhidi ya kipa wa Kagera Sugar, Andrew Ntalla katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-1
  Beki wa Yanga, Juma Abdul (kushoto) akiwania mpira dhidi ya mchezaji wa Kagera Sugar
  Mshambuliaji wa Yanga, Paul Nonga akimiliki mpira mbele ya beki wa Kagera Sugar
  Kiungo wa Yanga, Deus Kaseke akimtoka beki wa Kagera Sugar jana
  Amissi Tambwe (katikati) akishangilia baada ya kuifungia Yanga bao la pili

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA NA KAGERA SUGAR JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top