• HABARI MPYA

  Friday, April 08, 2016

  "UNACHOHITAJI NI KLOPP, TUNACHOHITAJI NI KOMBE"

  Shabiki wa Borussia Dortmund akiwa ameshika bango lililoandikwa 'All you need is Klopp, all we need is the cup' yaani 'Unachohitaji ni Klopp, tunachohitaji ni Kombe' wakati wa mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya UEFA Europa League dhidi ya Liverpool inayofundishwa na kocha wao wa zamani, Jugern Klopp. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1 Uwanja wa Signal Iduna Park, Dortmund na wiki ijayo zitarudiana Uwanja wa Anfield, Liverpool PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: "UNACHOHITAJI NI KLOPP, TUNACHOHITAJI NI KOMBE" Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top